Isaya 66:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu,enyi msikiao neno lake mkatetemeka:“Ndugu zenu ambao wanawachukia,na kuwapiga marufuku kwa sababu yangu,wamesema kwa dharau‘Mungu na aoneshe utukufu wake,nasi tuwaone nyinyi mkishinda!’Lakini wao wenyewe ndio watakaoaibishwa!

Isaya 66

Isaya 66:1-6