Isaya 66:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Katika kila sikukuu ya mwezi mpya,na katika kila siku ya Sabato,binadamu wote watakuja kuniabudu.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Isaya 66

Isaya 66:20-24