Isaya 66:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu atakuja kama moto,na magari yake ya vita ni kimbunga.Ataiacha hasira yake ifanye kazi yake kwa ukali,na onyo lake litekelezwe kwa miali ya moto.

Isaya 66

Isaya 66:10-24