Isaya 65:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Nami nitaufurahia mji wa Yerusalemu,nitawafurahia watu wangu.Sauti ya kilio haitasikika tena,kilio cha taabu hakitakuwako.

Isaya 65

Isaya 65:16-23