Isaya 64:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Laiti ungalizipasua mbingu ukashuka chini,milima ikakuona na kutetemeka kwa hofu!

2. Ingeteketea kama moto uchomavyo kichaka,kama vile moto uchemshavyo maji.Njoo upate kuwajulisha maadui zako jina lakonayo mataifa yatetemeke kwa kuwako kwako!

Isaya 64