Inua macho utazame pande zote;wote wanakusanyika waje kwako.Wanao wa kiume watafika toka mbali,wanao wa kike watabebwa mikononi.