Isaya 60:15 Biblia Habari Njema (BHN)

“Wewe ulikuwa umeachwa na kuchukiwa,hakuna aliyependa hata kupitia kwako.Lakini sasa nitakufanya uwe na fahari milele,utakuwa mji wa furaha kizazi hata kizazi.

Isaya 60

Isaya 60:9-22