Isaya 60:13 Biblia Habari Njema (BHN)

“Utaletewa fahari ya msitu wa Lebanoni:Mbao za miberoshi, mivinje na misonobari,zitumike kupamba mahali pa maskani yangu;nami nitaparembesha hapo ninapokaa.

Isaya 60

Isaya 60:8-17