Isaya 59:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Njia ya amani hamwijui kamwe;njia zenu zote ni za dhuluma.Mmejifanyia njia potovu,yeyote anayepitia humo hapati amani.

Isaya 59

Isaya 59:1-12