Isaya 59:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Maana mikono yenu imetiwa najisi kwa mauaji,na vidole vyenu kwa matendo maovu.Midomo yenu imesema uongo,na ndimi zenu husema uovu.

Isaya 59

Isaya 59:1-7