Isaya 59:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Kama vipofu twapapasapapasa ukuta;tunasitasita kama watu wasio na macho.Tunajikwaa mchana kana kwamba ni usiku,miongoni mwa wenye nguvu sisi ni kama wafu.

Isaya 59

Isaya 59:5-18