Isaya 58:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Siku hata siku wananijia kuniabudu,wanatamani kujua mwongozo wangu,kana kwamba wao ni taifa litendalo haki,taifa lisilosahau sheria za Mungu wao.Wananitaka niamue kwa haki,na kutamani kukaa karibu na Mungu.

Isaya 58

Isaya 58:1-8