Isaya 58:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Magofu yenu ya kale yatajengwa;mtajenga upya juu ya misingi iliyoachwa zamani.Nanyi mtaitwa watu waliotengeneza upya kuta,watu waliozifanya barabara za mji zipitike tena.

Isaya 58

Isaya 58:2-14