Isaya 57:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Mnajitia marashi na manukato kwa wingikisha mnakwenda kumwabudu Moleki.Mnawatuma wajumbe wenu huko na huko,kujitafutia miungu ya kuabudu;hata kuzimu walifika.

Isaya 57

Isaya 57:3-16