Lakini Mwenyezi-Mungu asema:“Njoni hapa nyinyi wana wa wachawi;nyinyi wazawa wa wachawi, wazinzi na malaya.