Isaya 57:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Niliwakasirikia kwa sababu ya uovu na tamaa zao;niliwaadhibu, nikauficha uso wangu na kukasirika.Lakini wao waliendelea kufuata njia zao wenyewe.

Isaya 57

Isaya 57:7-21