Isaya 56:8 Biblia Habari Njema (BHN)

“Hii ni kauli yangu mimi Bwana Mwenyezi-Munguninayewakusanya Waisraeli waliotawanyika.Licha ya hao niliokwisha kukusanya,nitawakusanya watu wengine wajumuike nao.”

Isaya 56

Isaya 56:3-9