Isaya 56:3 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mgeni anayenitambua mimi Mwenyezi-Mungu asifikiri:‘Hakika Mwenyezi-Mungu atanitenga na watu wake.’Naye towashi asiseme:‘Mimi ni mti mkavu tu!’

Isaya 56

Isaya 56:1-4