Isaya 55:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Mbona mnatumia fedha yenukwa ajili ya kitu kisicho chakula?Ya nini kutoa jasho lenu kwa kitu kisichoshibisha?Nisikilizeni mimi kwa makini,nanyi mtakula vilivyo bora,na kufurahia vinono.

Isaya 55

Isaya 55:1-9