Isaya 55:12 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mtatoka Babuloni kwa furaha;mtaongozwa mwende kwa amani.Milima na vilima mbele yenu vitapaza sauti na kuimba,na miti yote mashambani itawapigia makofi.

Isaya 55

Isaya 55:4-13