Isaya 54:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Usiogope maana hutaaibishwa tena;usifadhaike maana hutadharauliwa tena.Utaisahau aibu ya ujana wako,wala hutaikumbuka tena fedheha ya ujane wako.

Isaya 54

Isaya 54:1-8