Isaya 52:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Sikiliza sauti ya walinzi wako;wanaimba pamoja kwa furaha,maana wanaona kwa macho yao wenyewe,kurudi kwa Mwenyezi-Mungu mjini Siyoni.

Isaya 52

Isaya 52:1-11