“Nisikilizeni enyi mjuao mambo ya haki,ambao sheria zangu zimo mioyoni mwenu.Msiogope dharau za watu,wala kufadhaishwa na masimango yao.