Isaya 51:20 Biblia Habari Njema (BHN)

Watoto wako wamezirai,wamelala pembeni mwa kila barabara,wako kama paa aliyenaswa wavuni.Wamepatwa na ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu,wamepatwa na adhabu ya Mungu wako.

Isaya 51

Isaya 51:13-21