Isaya 51:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Amka ewe Yerusalemu!Amka usimame wima!Mwenyezi-Mungu amekunywesha kikombe cha ghadhabu yake,nawe umeinywa mpaka tone la mwisho,mpaka ukayumbayumba.

Isaya 51

Isaya 51:8-22