Isaya 50:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Mgongo wangu niliwaachia walionipiga,mashavu yangu waliozingoa ndevu zangu;walioniaibisha na kunitemea mate,sikujificha mbali nao.

Isaya 50

Isaya 50:1-11