Isaya 5:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Ole wao wanaonunua nyumba baada ya nyumba,wanaoongeza mashamba juu ya mashamba yao,mpaka kila sehemu inakuwa mali yao,na hamna nafasi kwa wengine nchini.

Isaya 5

Isaya 5:3-18