Isaya 5:30 Biblia Habari Njema (BHN)

Siku hiyo, watanguruma juu ya Israelikama mvumo wa bahari iliyochafuka.Atakayeiangalia nchi kavuataona giza tupu na dhiki,mwanga utafunikwa na mawingu.

Isaya 5

Isaya 5:21-30