Isaya 5:24 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo, kama moto uteketezavyo nyasi,kama majani yateketeavyo katika mwali wa motondivyo na mizizi yao itakavyooza,na maua yao yatakavyopeperushwa juu kama vumbi.Maana wameiacha sheria ya Mwenyezi-Mungu wa majeshi,wamedharau neno la yule Mtakatifu wa Israeli.

Isaya 5

Isaya 5:21-30