Ole wao wanaosema uovu ni wemana wema ni uovu.Giza wanasema ni mwangana mwanga wanasema ni giza.Kichungu wanasema ni kitamuna kitamu wanakiona kuwa kichungu.