Isaya 49:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Bwana Mungu asema hivi:“Nitayapungia mkono mataifa;naam, nitayapa ishara,nayo yatawabeba watoto wenu wa kiume,kadhalika na watoto wenu wa kikena kuwarudisha kwako.

Isaya 49

Isaya 49:12-26