Isaya 49:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Hawataona tena njaa wala kuwa na kiu.Upepo wa hari wala jua havitawachoma,mimi niliyewahurumia nitawaongozana kuwapeleka kwenye chemchemi za maji.

Isaya 49

Isaya 49:1-16