Isaya 48:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Hujapata kamwe kuyasikia wala kuyajua;tangu zamani masikio yako hayakuyasikia.Nilijua kuwa wewe ni mwenye hila,na kwamba wewe ni mwasi tangu kuzaliwa.

Isaya 48

Isaya 48:4-10