Isaya 48:3 Biblia Habari Njema (BHN)

“Nilitangaza zamani matukio ya awali,niliyatamka mimi mwenyewena kuyafanya yajulikane kwenu.Mara nikaanza kuyatekeleza,nayo yakapata kutukia.

Isaya 48

Isaya 48:1-4