Isaya 48:14 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kusanyikeni nyote msikilize!Nani kati ya miungu yenu aliyetabiri vitu hivi?Mimi Mwenyezi-Mungu nampenda Koreshi;yeye atatekeleza lengo langu kuhusu Babuloni,naam, yeye atawashambulia Wakaldayo.

Isaya 48

Isaya 48:4-16