Isaya 48:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Sikilizeni, enyi watu wa Yakobo,enyi mnaojulikana kwa jina la Israeli,nyinyi mlio wa ukoo wa Yuda.Nyinyi huapa kwa jina la Mwenyezi-Mungu,na kudai mnamwabudu Mungu wa Israeli;lakini hayo si ukweli wala sawa.

Isaya 48

Isaya 48:1-9