Isaya 47:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema:“Ewe taifa la Wakaldayolililo kama binti mzuri,keti kimya na kutokomea gizani.Maana umepoteza hadhi yakoya kuwa bimkubwa wa falme.

Isaya 47

Isaya 47:1-14