Isaya 47:11 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini maafa yatakupataambayo hutaweza kujiepusha nayo.Balaa litakukumbaambalo hutaweza kulipinga;maangamizi yatakujia ghaflaambayo hujapata kamwe kuyaona.

Isaya 47

Isaya 47:4-15