Isaya 45:6 Biblia Habari Njema (BHN)

ili watu wote, toka mashariki hadi magharibi,wajue kwamba hakuna Mungu mwingine ila mimi;mimi ni Mwenyezi-Mungu na hakuna mwingine.

Isaya 45

Isaya 45:3-12