Isaya 45:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa ajili ya mtumishi wangu Yakobo,naam, kwa ajili ya mteule wangu Israeli,nimekuita kwa jina lako;nimekupa jina la heshima ingawa wewe hunijui.

Isaya 45

Isaya 45:1-11