Isaya 45:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Mimi nitakutangulia,na kuisawazisha milima mbele yako.Nitaivunjavunja milango ya shaba,na kuvikatakata vizuizi vyake vya chuma.

Isaya 45

Isaya 45:1-8