Isaya 43:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa vile mna thamani mbele yangu,kwa kuwa nimewapa hadhi na kuwapenda,mimi nawaacha watu kusudi niwapate nyinyi,nayaachilia mataifa badala ya maisha yenu.

Isaya 43

Isaya 43:1-5