Isaya 42:6 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mimi Mwenyezi-Mungu nimekuita kutenda haki,nimekushika mkono na kukulinda.Kwa njia yako nitaweka ahadi na watu wote,wewe utakuwa mwanga wa mataifa.

Isaya 42

Isaya 42:5-14