Isaya 42:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Kwa muda mrefu sasa nimenyamaza,nimekaa kimya na kujizuia;lakini sasa nitalia kama mama anayejifungua,anayetweta pamoja na kuhema.

Isaya 42

Isaya 42:12-24