Isaya 41:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Fundi anamhimiza mfua dhahabu,naye alainishaye sanamu kwa nyundo,anamhimiza anayeiunga kwa misumari.Wote wanasema, ‘Imeungika vizuri sana!’Kisha wanaifunga kwa misumari isitikisike.

Isaya 41

Isaya 41:1-10