Isaya 41:2 Biblia Habari Njema (BHN)

“Nani, ila mimi, aliyemwita shujaa toka mashariki,mtu ambaye hupata ushindi popote aendako?Mimi huyatia mataifa makuchani mwake,naye huwaponda wafalme chini ya miguu yake!Upanga wake huwafanya kuwa kama vumbi,kwa upinde wake huwapeperusha kama makapi.

Isaya 41

Isaya 41:1-3