Isaya 41:18 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitabubujisha mito kwenye milima mikavu,na chemchemi katika mabonde.Nitaigeuza nyika kuwa bwawa la maji,na nchi kame kuwa chemchemi za maji.

Isaya 41

Isaya 41:12-23