Isaya 40:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu alimtaka nani shauri,ndipo akapata kuwa mwenye ujuzi?Nani aliyemfunza njia za haki?Nani aliyemfundisha maarifa,na kumwonesha namna ya kuwa na akili?

Isaya 40

Isaya 40:10-23