Isaya 37:29 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa vile umefanya mipango dhidi yanguna nimeusikia ufidhuli wako,nitatia ndoana yangu puani mwako,na lijamu yangu kinywani mwako.Nitakurudisha njia ileile uliyojia.”

Isaya 37

Isaya 37:26-30