Isaya 37:22 Biblia Habari Njema (BHN)

basi huu ndio ujumbe wangu kuhusu huyo mfalme:Mji wa Siyoni, naam, Yerusalemu,unakudharau na kukutukana.Yerusalemu, mji mzuriunakutikisia kichwa kwa dhihaka.

Isaya 37

Isaya 37:19-30